TABASAMU LA TIBA SAHIHI Campaign

TABASAMU LA TIBA SAHIHI Campaign ni kampeni maalumu inayoendeshwa na Jamii Medical Awareness yenye lengo la kupambana na Tatizo la usugu wa dawa. 
Tatizo la UDSUGU wa dawa limeshamiri kwa kasi na kua tishio katika matibabu kwa kutumia viwatilifu (haswa Antibiotiki). 
Walengwa wa kampeni hii ni Jamii nzima kwa ujumla. 

Tunatoa wito kwa jamii na wadau mbali mbali kuunga mkono kampeni hii ili kutoa elimu na kufikia watu wengi zaidi. 

Comments

  1. Ndugu zangu nna mapendekezo kidogo, napenda kuwashauri mtumie mitandao ya kijamii zaidi kukuza jina lenu na kufikisha ujumbe kwenye jamii kwa urahisi zaidi ili jamii ya watanzania na afrika mashariki kwa ujumla watambue nyie ni akina nani?? Na mnafanya nini? Tengenezeni group moja la whatsap, wekeni wadau mbali mbali wataosaidia kushare machapisho mbalimbali kwenye groups nyingine. Pia mnaweza kutengeneza account ya instagram na mkapost machapisho kadha wa kadha(medical tips), manweza pia kufungua channel youtube mkapost some medical presentations, video medical tips, midahalo mbalimbali na vitu vingine mnavyovifanya ndani ya jamii. Yangu ni hayo. Keep it up guys. Asikudanganye mtu "Maisha ni Afya".

    ReplyDelete

Post a Comment

Follow Us